الحَمْدُ لِلَّهِ، وَالصَّلَاةُ وَالسَّلَامُ عَلَى رَسُولِ اللَّهِ، وَعَلَى آلِهِ وَصَحْبِهِ أَجْمَعِينَ
أَمَّا بَعْدُ
Karibu katika Kujisajili katika Mtihani unaotarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa ukipima ufahamu wa FIQH YA NGUZO ZA UISLAMU..
Tafadhali jaza jaarifa sahihi kama inayoelekezwa katika kila kipengele.
Tunamuomba Allah ajaalie aamali hii iwe na ikhlaas, Aamin.
وبالله التوفيق